Chorus / Description :
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Kwa uwezo wake roho (Sitarudi kuwa vile)
Nakata kudharauliwa (Sitarudi kuwa vile)
Nakata maisha ya chini (Sitarudi kuwa vile)
Kwani Baba amenikumbuka (Sitarudi kuwa vile)
Mimi ni mbarikiwa (Sitarudi kuwa vile)

Oh Baba amenikumbuka (Sitarudi kuwa vile)
Mimi ni mbarikiwa (Sitarudi kuwa vile)
Mimi ni mbarikiwa (Sitarudi kuwa vile)
Huu ni mwaka wa Bwana amenitendea mengi
Nahisi moyoni mwangu Bwana amenikumbuka
Mwaka jana niliteseka sitarudi pale tena
(rudia)
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Sitarudi kuwa vile (Sitarudi kuwa vile)
Kwa uwezo wake roho (Sitarudi kuwa vile)
Nakata kudharauliwa (Sitarudi kuwa vile)
Nakata maisha ya chini (Sitarudi kuwa vile)
Nakata maisha ya chini (Sitarudi kuwa vile)
Kwani Baba amenikumbuka (Sitarudi kuwa vile)
Oh Baba amenikumbuka (Sitarudi kuwa vile)
Mimi ni mbarikiwa (Sitarudi kuwa vile)
Mimi ni mbarikiwa (Sitarudi kuwa vile)
Wewe baba umeteseka huu ni mwaka wa Bwana
Baba amekukumbuka hakuna mateso tena
Ya kale yamepita usirudi kule tena
Wewe ndugu umeteseka huu ni mwaka wa Bwana
Baba amekukumbuka hakuna mateso tena
Ya kale yamepita usirudi kule tena
Hautarudi kuwa vile (Hautarudi kuwa vile)

Kwani Baba amekukumbuka (Hautarudi kuwa vile)
Oh Baba amekukumbuka (Hautarudi kuwa vile)
Hautarudi kuwa vile (Hautarudi kuwa vile)
Hautarudi kuwa vile (Hautarudi kuwa vile)
Wewe ni mbarikiwa (Hautarudi kuwa vile)
Wewe ni mbarikiwa (Hautarudi kuwa vile)
Umeachwa bila mikao mama yangu usilie
Jehova shalom ametenda amerejesha amani
Hautarudi pale tena Baba amekukumbuka
Hautarudi kuwa vile (Hautarudi kuwa vile)
Hautarudi kuwa vile (Hautarudi kuwa vile)
Hautarudi kuwa vile (Oh oh Oh Hautarudi kuwa vile)
Kwani Baba amekukumbuka (Oh Oh Oh Hautarudi kuwa vile)
Oh Baba amekukumbuka (Oh Oh Oh Hautarudi kuwa vile)
Oh Oh Oh hauturudi kuwa vile