Chorus / Description :
Sifa zako Eeh Baba
Zikinywani Mwangu
Nitakusifu Milele na Milele
Milele
Lyrics:
Sifa zako Eeh Baba
Zikinywani Mwangu
Nitakusifu Milele na Milele
Milele x4
Halelluyah , Halleluyah,
Halleluyah ,Halleluyah,
Halleluyah
Verse:
Wewe Babayangu We
Nitakusifu milele yote
Wewe wanilaza, kwenye majani, yaliyo mambichi eeeh eeeh
Waniandalia meza mbele ya watesi wewe baba
(oooh)Nitakusifu Milele na Milele ..
milele baba ..sifa zako baba....
Chorus
Sifa zako Eeh Baba
Zikinywani Mwangu
Nitakusifu Milele na Milele
Milele x4