Chorus / Description :
Ninakuhimidi Bwana, Ninakuhimidi Bwana
Sifa zako zi kinywani mwangu
Ninakuhimidi Bwana
Ninakumbuka ulivyoniokoa
Toka katika mizigo ya dhambi
Sasa ni huru nakuabudu Baba
Ninakuhimidi Bwana
Ninakumbuka ulivyoniponya
Ukaniondolea magonjwa yote
Sasa ni mzima nakwabudu Baba
Ninakuhimidi Bwana
Ninakuhimidi Bwana, Ninakuhimidi Bwana
Sifa zako zi kinywani Mwangu
Ninakuhimidi Bwana
Ninakuhimidi Bwana, Ninakuhimidi Bwana
Sifa zako zi kinywani mwangu
Ninakuhimidi Bwana
Uliyetenda tena utandaye
Huna mwanzo wala mwisho
Maisha yangu nakukabidhi
Uitumie kama upendavyo
Wewe ni mwema tena mwaminifu
Mtakatifu niwe wa pekee
Mbingu na chi zimejaa utukufu wako
Twakuhimidi pokea sifa zetu
Pokea pokea
Ninakuhimidi Bwana, Ninakuhimidi Bwana
Sifa zako zi kinywani mwangu
Ninakuhimidi Bwana