Joyce Ojowi - Unanitosha

Chorus / Description : Unanitosha, unanitosha
Jemedari wangu. mtetezi wangu
Unanitosha

Unanitosha Lyrics

Unanitosha, unanitosha
Jemedari wangu. mtetezi wangu
Unanitosha x2

Nielezeje mungu wangu ikawaje mbingu na dunia
Mchana na usiku bahari na nchi kavu
Yote ni kazi yako baba maneno ako ni ya uhai
Ukisema ni nani wa kupinga nguvu hiyo ya neno
Ndio uridhi wangu baba jehova unanitosha

Unanitosha, unanitosha
Jemedari wangu. mtetezi wangu
Unanitosha x2

Sasa nimekufahamu nimeamini unaweza
Kuhifadhi ahadi yako hadi siku ya mwisho
Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu
Sasa hata milele na milele amina

Unanitosha, unanitosha
Jemedari wangu. mtetezi wangu
Unanitosha x2

Unanitosha Video

  • Song: Unanitosha
  • Artist(s): Joyce Ojowi


Share: