Kaberere - Just A Way To Show How Much I Love You - Njia Ya Kusema

Chorus / Description : From the first day I met you
It is just a way, a way to show how much I love you
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyokupenda

Just A Way To Show How Much I Love You - Njia Ya Kusema Lyrics

From the first day I met you
Sijawahi lala njaa, Nyumba umeishughulikia
From the first day I met you
Sijalala na kiu, umekuwa maji ya uzima
From the first day I met you
Sijapigwa na baridi blanketi umenipa
From the first day I met you
Umenipenda na mambo yangu mengi

Ulinipenda kwanza kabla nikujue
Ulinipenda kwanza kabla nikupende
Nilipokujua hapo nikatambua milele nitakuinua
Pendo la kishua, nami naamua nitakupenda pia

It is just a way, a way to show how much I love you
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyokupenda

Adui wewe umekuwa kizuizi maishani
Adui wewe wataka nikose mimi taji ya uzima
Adui wewe ulishindwa miaka iliyopita
Kalivari aliposema yamekwisha
Eloi eloi lamasabakitani
Mawe walitupa, mate kukutemea
Mkuki ubavuni, maji yakamwagika
Damu ilivuja, ili nipate uzima

It is just a way, a way to show how much I love you
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyokupenda

It is just a way, a way to show how much I love you
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyokupenda

Just A Way To Show How Much I Love You - Njia Ya Kusema Video

  • Song: Just A Way To Show How Much I Love You - Njia Ya Kusema
  • Artist(s): Kaberere

Share: