Chorus / Description :
Yupo Mungu mbinguni asikiaye maombi yetu
Tunapoomba asikia anajibu
Tunapoomba asikia maombi yetu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana mwaminifu
There is A God in heaven
Who hears all of our prayers
There is A God in heaven
Who answers all of our prayers
Whenever we pray
He hears and He answers
Whenever we pray
He hears all of our prayers
Yupo Mungu mbinguni
Ayajibuye maombi yetu
Tunapoomba anajibu
Tunapoomba asikia maombi yetu
Tunapoomba asikia anajibu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana mwaminifu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana mwaminifu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana u mwaminifu
usikiaye maombi, ujibuye kwa moto
Bwana u mwaminifu
Yupo Mungu mbinguni asikiaye maombi yetu
Yupo Mungu mbinguni ayajibuye maombi yetu
(rudia)
Tunapoomba asikia anajibu
Tunapoomba asikia maombi yetu
Tunapoomba asikia anajibu
Tunapoomba asikia maombi yetu