Joy Ambale - Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu

Chorus / Description : Tunainua Mikono yetu
tukisema eeh Bwana
Katuokoa kutoka mautini
Tunasema We Bwana
Tunakiri uwezo Wako ooh
Wewe watosha
Bwana
Tumekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yetu ooh
Wewe watosha

Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu Lyrics

Bwana Nimekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yangu ooh
Wewe watosha . .
Bwana
Tumekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yetu ooh
Wewe watosha

Tunainua Mikono yetu
tukisema eeh Bwana
Katuokoa kutoka mautini
Tunasema We Bwana
Tunakiri uwezo Wako ooh
Wewe watosha

Tunainua Mikono yetu
tukisema eeh Bwana
Katuokoa kutoka mautini
Tunasema We Bwana
Tunakiri uwezo Wako ooh
Wewe watosha


Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu Video

  • Song: Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu
  • Artist(s): Joy Ambale


Share: