Chorus / Description :
Uliyotenda Mungu Baba
uliyotenda tenda sasa
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Uliyotenda Mungu Baba
uliyotenda tenda sasa
Uliyotenda Baba
uliyotenda, tenda sasa
Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mungu mwenye
Kanisa lako lakuhitaji Baba
Wakuone wakusifu waliunue Jina lako
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Mama yule aliyetokwa na damu miaka kumi na miwili
Ulimtendea miujiza damu ikakauka
Watazame hata sasa kina mama wanakuhitaji
Waponye watakase waonyeshe uzima wako
Watende miujiza tenda Baba
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Uliyotenda uliyotenda
Tenda Sasa
Mama analia hana karo
Uliyotenda uliyotenda Tenda Sasa
Kijana yule kaka hawana pesa za matumizi
Shida zimewainukia Tenda sasa
Uliyotenda uliyotenda Tenda Sasa