Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Mungu, wee ni Mungu
Tumeuona mkona wako
Mungu, wee ni Mungu
Tumeuona mkona wako
Yahweh, wee ni Yahweh
Mafuta yako ya shangwe yako juu yangu
Yahweh, wee ni Yahweh
Mafuta yako ya shangwe yako juu yangu
Yesu, jina lako ni Yesu
Yale umetenda ni makuu sana
Yesu jina lako ni Yesu
Yale, umetenda ni makuu sana
Ndio maana sifa na utukufu
Zikurudie wewe kwa matendo yako
Sifa zote zangu zikurudie wewe
Zikurudie wewe kwa matendo yako
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Wewe ni Mungu, unatawala
Kweli unatawala
Wewe ni Mungu, usifiwe
Kweli usifiwe
Matendo yako ni ya ajabu
Kweli usifiwe
Japo nipitapo kwenye bonde la mauti
Kweli usifiwe
Kwenye furaha pia majonzi
Kweli usifiwe
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Usifiwe uabudiwe
Oh matendo yako Bwana ni ajabu
Matendo yako Bwana ni ya ajabu
Usifiwe uabudiwe
Matendo yako Bwana ni ajabu
Write a review/comment/correct the lyrics of Usifiwe: