MAJESTY'S MUSIC - Naijulikane

Chorus / Description : Naijulikane Kwamba Yupo
Mungu wa Eliya
Naitambulike kwamba wewe
Ni Mungu wa Eliya
Baba Naitambulike kwamba Yuko
Mungu wa Eliya
1 Wafalme 18:36

Naijulikane Lyrics

How to Play Naijulikane kwamba Yupo Lyrics with Video
by MAJESTY'S HOUSE OF MUSIC

Naijulikane Kwamba Yupo
Mungu wa Eliya
Naijulikane kwamba Yupo
Mungu wa Eliya

Naitambulike kwamba wewe
Ni Mungu wa Eliya
Baba Naitambulike kwamba Yuko
Mungu wa Eliya

Katika Biblia
1 Wafalme 18:36
Ikawa, wakati wa kutoa dhabihu ya jioni, Eliya nabii akakaribia, akasema, Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe Mungu katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako.

Song By Grace Nasambu

Naijulikane Video

  • Song: Naijulikane
  • Artist(s): MAJESTY'S MUSIC
Naijulikane

Share: