Chorus / Description :
Naona fahari, fahari
Naona fahari
Kutembea na Yesu
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah
uweponi mwako Mungu wangu
Naona fahari kuwa
uweponi mwako Mungu wangu
Naona fahari kuwa
Ninapotembea na wewe Yesu
Naona fahari kuwa . .
Naona fahari, fahari
Naona fahari, fahari
Kutembea na Yesu x2
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .
Wengine fahari ni majengo kuu
Na wengine fahari yao ni majumba
Wengine fahari yao masengenyo
Na wengine fahari yao ni uchawi
Lakini mimi fahari yangu ni Yesu
Aliyenifia kalivari mimi
Jamani mimi fahari yangu ni Yesu
Aliyenifia kalivari . .
Naona fahari, fahari
Naona fahari, fahari
Kutembea na Yesu x2
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .
Kama si wewe Yesu wangu
Ningekuwa wapi mimi maisha yangu
Kama si wewe Yesu
Huruma yako kalivari
Ningekuwa wapi leo?
Ulinipenda nikiwa sifai
Katika ya jamii lakini Yesu ukanikumbatia
Wanadamu waliponidharau,
Mama yangu Baba yangu wewe ukanikumbatia . .
Naona fahari, fahari
Naona fahari, fahari
Kutembea na Yesu x2
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah . .
Huruma yako juu yangu, kila ninapotafakari
Naishiwa maneno, wewe ni Mungu wa ajabu
Mtetezi wa ajabu kwangu, nikupe nini? . .
Naona fahari, fahari
Naona fahari, fahari
Kutembea na Yesu x2
Pekee yangu siwezi, siwezi
Pekee yangu siwezi, sitaweza aah .