Wrong Number Lyrics

by Man Ingwe | in Swahili

Hii ni wrong number
sio number ya Mbinguni
Lakini Bwana Yesu,
Ndiye njia ya uzima
alikufa msalabani kwa ajili yangu nawe
usilie atakusaidia

Hii ni wrong number
sio number ya Mbinguni
Lakini Bwana Yesu,
Ndiye njia ya uzima
alikufa msalabani kwa ajili yangu nawe
usilie atakusaidia

Hello...


Wrong Number VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Wrong Number:

0 Comments/Reviews