Manesa Sanga - Chaguo Lako

Chorus / Description : Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Umeomba kwa miaka nyingi
Umetafuta kila mahali
Leo umepata wako, ambaye ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako,
Alizaliwa kwa ajili yako
Ameumbwa kwa ajili yako
Huyoo ni chaguo lako, huyo ni chaguo lako
Huyo ni chaguo lako
Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba

Chaguo Lako Lyrics

Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Umeomba kwa miaka nyingi
Umetafuta kila mahali
Leo umepata wako, ambaye ni chaguo lako
Huyoo ni chaguo lako,
Alizaliwa kwa ajili yako
Ameumbwa kwa ajili yako
Huyoo ni chaguo lako, huyo ni chaguo lako
Huyo ni chaguo lako

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba
Huyo ni chaguo lako, huyoo ni chaguo lako
Hatakama ni mweusi, hatakama ni mweupe
Huyoo ni chaguo lako, Huyo ni chaguo lako

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Nyumbani mwenyu iwe amani
Usiwe uwanja wa mapambano
Kila mara mpembelezane
Kila mara muombeane
Huyo ni chaguo lako
Tangulizeni Bwana Yesu
Atawale maisha Yenyu
Huyoo ni chaguo lako, huyo ni chaguo lako
Huyo ni chaguo lako

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Neno la Mungu linasema, mwanamke atamlinda
Mume wake kwa muombe, nawe tembea na mumeo
Ukimlinda kwa maombi, kila siku muombe
Kila siku mubariki, nyumba yenyu iwe baraka
Huyo ni chaguo lako, chaguo lako
Chaguo lako, chaguo lako

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Msisikie la walimwengu
Wekeni pamba masikioni
Ya walimwengu yatawapotosha
Ya walimwengu yatawachanganya
Ya walimwengu yatawachafua
mwiteni Yesu awatale
Mwiteni Mungu atawale
Huyo ni chaguo lako, huyo chaguo lako
Huyo chaguo lako

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Chaguo Lako Video

  • Song: Chaguo Lako
  • Artist(s): Manesa Sanga


Share: