Martha Mutune - Nimehitaji Mwokozi

Chorus / Description : Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi kiongozi njiani
Kwa jicho aniongoze nifike mbinguni

Nimehitaji Mwokozi Lyrics

Nimehitaji Mwokozi awe nami daima
Nataka mkono wake kunizunguka sana
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima

Nimehitaji mwokozi sina imani nyingi
Atanifufua moyo wengine hawawezi
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima

Nimehitaji mwokozi mwendoni mwa maisha
Katika mateso mengi, tena katika vita
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima

Nimehitaji mwokozi kiongozi njiani
Kwa jicho aniongoze nifike mbinguni
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima

Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima

NIMEHITAJI MWOKOZI by Martha Mutune

  • Song: Nimehitaji Mwokozi
  • Artist(s): Martha Mutune


Share: