Chorus / Description :
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Baba nakuomba sasa
Wewe useme nami
Useme na moyo wangu Baba
useme nami
Jehovah nimekuja kwako
Sasa Baba useme nami
Oooh useme na moyo wangu
ooh useme nami
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Baba sioni njia nataka useme nami
Eeh Baba useme na moyo sasa useme nami
Useme na moyo wangu Baba useme nami
Useme ndani ya moyo wangu Baba wewe useme nami
Useme na moyo wangu useme nami
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu
Sema na sema na
Sema na moyo wangu