Nadia Mukami - Maombi

Chorus / Description : Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi

Maombi Lyrics

Nadia....
(hoyah hoyah hoyah)x2

Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha,
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki,
Sasa imepita miaka bado wanasubiri,

(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa,

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2

Hoya hoya,hoyaaah X3 

VERSE 2
Na mikono nitainua, magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yangu...(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2)

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2

VERSE 3:

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
Ila Mungu hawezi kubali uangukee,
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh

(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2)

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, 
Si kelele ni maombi, ni maombi, (X2)

Si uchawii weeeh
Si uleviii eeeh
Si kwa nguvu zangu mieee
Si KaNadia katambeeeee

Maombi Video

  • Song: Maombi
  • Artist(s): Nadia Mukami


Share: