Chorus / Description :
Hubadiliki wewe ni yule yule
Hulinganishwi jiwe la pembeni
Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu na nchi
Ndio maana mi nasema asante
Hubadiliki wewe ni yule yule
Hulinganishwi jiwe la pembeni
Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu na nchi
Ndio maana mi nasema asante
Hapo mwanzo kulikuwa neno
naye neno alikuwa kwa Mungu,
naye neno alikuwa ni Mungu
Vitu vyote uonavyo sasa Vilifanyika kwa huyo neno
Ndani yake imo uzima na nuru
Nayo nuru yang?aa gizani
Nalo giza haikuiweza
Mwamba wetu, kimbilio ni wewe mkuu x2
Chorus
Hubadiliki wewe ni yule yule
Hulinganishwi jiwe la pembeni
Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu nan chi
Ndio maana mi nasema asante
Baba wewe ni mwema nikiwa nawe
nitaogopa nani Matendo yako Bwana yashangaza sana, nani kama wewe Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu na nchi
Ndio maana mi nasema asante