Chorus / Description :
Nimkimbilie nani ee ee eeh
Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu
Amenibariki amanibariki
Katika jina lake Yesu amanibarika
Amenibariki amanibariki
Katika jina lake Yesu amanibarika
Amenifariji amanifariji
Katika jina lake Yesu amenifariji
Anipa amani,anipa amani
Katika jina lake Yesu anipa amani
Nimkimbilie nani ee ee eeh
Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu
Nimkimbilie nani ee ee eeh
Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu
Wakati wa shida, wakati wa machozi
Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu
Nimkimbilie nani ee ee eeh
Nimkimbilie Yesu mwokozi wangu
Amanisamehe amanisamehe
Katika jina lake Yesu amanisamehe
Amenibariki amanibariki
Katika jina lake Yesu amanibarika
Ni njia ya uzima ee ee eeh
Ni njia ya uzima ya kuenda kwa Baba
Yesu anaponya, Yesu afariji
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu abariki, Yesu abariki
Yesu aokoa, Yesu aokoa
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu atupenda, Yesu atupenda
Yesu atupenda, Yesu atupenda
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu anaponya, Yesu anaponya
Yesu afariji, Yesu afariji
Yesu ni yule yule jana leo na milele
Yesu ni yule yule jana leo na milele