Princess Rukwaro - Yesu Wewe

Chorus / Description : Yesu wewe, pokea sifa
Yesu wewe, mpenzi wangu
Unanitosha, we pekee yako
Kando yako, hakuna mwingine

Yesu Wewe Lyrics


Wewe ni Muumba, wa mbingu na nchi
Na nguvu zako, hazina kipimo
Ahadi zako, ndio na amina
Yesu we we we mfalme mkuu

Chorus
Yesu wewe, pokea sifa
Yesu wewe, mpenzi wangu
Unanitosha, we pekee yako
Kando yako, hakuna mwingine

Wewe ni zaidi, ya mawazo yangu
Hakuna meno, lakuelezea
Nakutegemea, kwa maisha yangu
Yesu wewe we mimi ni wako

Nafsi Yangu, kupungukiwa
Mbali we ni mwamba, wa moyo wangu
U sehemu yangu, kimbilio langu
Ngome imara, Kwako nasimama

Yesu Wewe Video

  • Song: Yesu Wewe
  • Artist(s): Princess Rukwaro


Share: