Qui Gatheru - Nani Kama Yahweh

Chorus / Description : Nani kama Yahweh mshindi wa Washindi
Ndio maana tunasema
Hakuna mwingine chini na Juu
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh

Nani Kama Yahweh Lyrics

Nani kama Yahweh Mshindi wa washindi
Nani kama Yahweh mshindi wa Washindi

Ndio maana tunasema
Hakuna mwingine chini na Juu
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh

Nani kama Yahweh Mfalme wa wafalme
Nani kama Yahweh mshindi wa Washindi

Nani Kama Yahweh, Bwana wa Mabwana
Nani kama Yahweh mshindi wa washindi

Ndio maana tunasema
Hakuna mwingine chini na Juu
(Hakuna mwingine ila Jehovah)
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh

Wewe Pekee Yako
Ndio maana tunasema
Hakuna mwingine chini na Juu
(Wewe wastahili)
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh
(Heshima na utukufu)
Hakuna mwingine chini na Juu
(Wewe ndiwe Baba)
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh

Nani Kama Yahweh? Jehovah Shammah
Nani kama Yahweh mshindi wa washindi
Mponyaji si mwingine ila Jehovah Rapha
Nani kama Yahweh mshindi wa washindi
Kimbilio si mwingine ila ni Wewe Nissi
Nani kama Yahweh mshindi wa washindi
Umbali tumefika twasema Ebenezah
Nani kama Yahweh mshindi wa washindi

Ndio maana tunasema
Hakuna mwingine chini na Juu
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh
Hakuna mwingine chini na Juu
Nimetafuta chini na Juu
Ooh Hakuna mwingine kama Yahweh

Nani Kama Yahweh Video

  • Song: Nani Kama Yahweh
  • Artist(s): Qui Gatheru


Share: