Rafiki Gospel Singers - Milele

Chorus / Description : Utamu wa Yesu we

Utamu wa Yesu wo

Mama utamu we, utamu , utamu wa Yesu we

Baba utamu we, utamu , utamu wa Yesu wowoo

Milele Lyrics

(SAPPY)
Eeeeeiyaaaah.......
Heshima kwa ye, heshima
Heshima kwa Yesu Kristo
Heshima kwa ye, heshima
Heshima kwa Tesu Masia X 2

Eeeeeee heshima, 
Heshima yeye, heshima apewe Yesu
Heshima yeye, heshima apewe Bwana
Heshima yeye, heshima apewe Yesu
Heshima yeye, heshima kwa Yesu mfufuka

Yeyeyeyeyeyeyeyeeeee

Fufu, fufuka X 2
Fufuka na Yesu, Fufuka na Bwana
Fufuka
Heshima, heshima, heshima, heshima

Heshima mbele 
Heshima kwa Yesu mwokozi wa dunia.
Heshima mbele
Toa heshima, piga saluti wee
Heshima mbele
Heshima,heshima, heshima , heshima.
Heshima mbele
Heshima,heshima, heshima kwa Yesu.
Heshima mbele
Heshima,heshima, toa heshimaa.
Heshima mbele
Heshima kwa Yesu mkombozi wa dunia.

Ee tunakusifu Mungu, tunatoa heshima kwa Yesu.
Wakristo wote, piga saluti kwa Yesu

(MOSES)
Heshima natoa hiyo kwa bwana wangu mwokozi
Saluti napiga hiyo kwa Yesu wangu mwokozi
Heshima natoa hiyo kwa bwana wangu mwokozi
Saluti napiga hiyo kwa Yesu wangu mwokozi
kwa Yesu sina nishai,kwa bwana mi najidai
Kwa Yesu mi nafurahi, kwa bwana nmeshawahi
kwa Yesu sina nishai,kwa bwana mi nafurahi
Kwa Yesu mi najidai, kwa bwana nmeshawahi

(SAPPY)
Sina mawoga woga, nimetulia kwa Yesu najiparaa
Sina mawoga woga, wanayosema na-sheet najiparaa
Sina mawoga woga, nimetulia kwa Yesu najiparaa
Sina mawoga woga, wanayosema na-sheet najiparaa

(MOSES)
kwa Yesu sina nishai,kwa bwana mi najidai
Kwa Yesu mi nafurahi, kwa bwana nmeshawahi
kwa Yesu sina nishai,kwa bwana mi nafurahi
Kwa Yesu mi najidai, kwa bwana nmeshawahi

(SAPPY)
Hahahaha, vijana wenye damu mbichi tunatoa heshima kwa Yesu.
Ale sasa sasa sasa, chacha chacha chaaa
Ale rusha mikono juu, rusha mikono yako juu
Ale rusha mikono juu,toa heshima kwa Yesu juu
Ale rusha mikono juu, rusha mikono yako juu
Ale rusha mikono juu, rusha mikono kwa Yesu juu
Kila mutu

Heshima mbele 
Heshima kwa Yesu mwokozi wa dunia.
Heshima mbele
Toa heshima, piga saluti wee
Heshima mbele
Heshima,heshima, heshima , heshima.
Heshima mbele
Heshima,heshima, heshima kwa Yesu.
Heshima mbele
Heshima,heshima, toa heshimaa.
Heshima mbele
Heshima kwa Yesu mkombozi wa dunia.

Eee anaungulia yee, simba anaunguruma yee mama oooh
Eee anaunguruma ooooo , simba wa Yuda anaunguruma eeh mama oooh
Anapounguruma wachawi wote wanakombolewa
Anapounguruma majambazi sugu wanakombolewa
Anapounguruma wapiga ngeta wanakombolewa
Anapounguruma watumwa wa dhambi wanakombolewa na wewe
Ruka ucheze ulikombolewa na ye
Yesu pia wewe,cheza uruke uneng'emuke kwake ye
Sambamba na yeye anavyocheza yaan acha utamu we

Utamu wa Yesu we
Utamu wa Yesu wo
Utamu wa Yesu we 
Utamu wa Yesu wo
Mama utamu we, utamu , utamu wa Yesu we
Baba utamu we, utamu , utamu wa Yesu wowoo  

Eeeeeiyaaaah.......
Heshima kwa ye, heshima
Heshima kwa Yesu Kristo
Heshima kwa ye, heshima
Heshima kwa Tesu Masia X 2

Eeeeeee heshima, 
Heshima yeye, heshima apewe Yesu
Heshima yeye, heshima apewe Bwana
Heshima yeye, heshima apewe Yesu
Heshima yeye, heshima kwa Yesu mfufuka

Yeyeyeyeyeyeyeyeeeee  

Utamu wa Yesu we
Utamu wa Yesu wo
Utamu wa Yesu we 
Utamu wa Yesu wo
Mama utamu we, utamu , utamu wa Yesu we
Baba utamu we, utamu , utamu wa Yesu wowoo

Heshima, anapounguruma
Heshima , anapounguruma  
Heshima, anapounguruma
Heshima , anapounguruma
Heshima, heshimaaa

Milele Video

  • Song: Milele
  • Artist(s): Rafiki Gospel Singers


Share: