Chorus / Description :
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Yesu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Yesu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Yesu damu ni mwako
Damu yako yaponya
Damu yako yakomboa
Damu yako yatakasa
Yesu damu ni mwako
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Damu ni mwa Yesu
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Msalabani pa Yesu
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Damu ni mwa Yesu
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Msalabani pa Yesu
Damu yako yaponya
Damu yako yakomboa
Damu yako yatakasa
Yesu damu-ni mwako
Yesu damuni mwako
Translation
There is power in Your blood
There is power in Your blood
There is power in Your blood
Jesus in Your blood