Chorus / Description :
Niliposema nitajenga majumba
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitanunua magari
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitavaa shela
Niliposema nitajenga majumba
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitanunua magari
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitavaa shela
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitazaa mapacha
Wakasema, utawezaje?
Niliposema huduma yangu ni kubwa sana
Wakasema, utawezaje?
Nilipowaambia mimi ni Bosi
Wakasema, utawezaje?
Nilipowaambia nitasoma sana
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitakuwa tajiri
Wakasema, utawezaje?
Niliposema nitamiliki utawala
Wanadamu walinihakikishia
Wanadamu walininenea mabaya
Kwamba mimi ni wa chini tu sitabarikiwa
Kwamba mimi ni wa chini tu sitabarikiwa
Maana historia yangu walijua toka mwanzo
Maana maisaha yangu waliyajua toka mwanzo
Mimi ni yule yule niliyeomba misaada kwao
Mimi ni yule yule niliyepiga magoti kwao
Mimi ni yule yule waliyenisaidia mahali pa kulala
...