Chorus / Description :
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
You are worthy, the son of God who was slain
Mfalme wa mataifa wewe ni wathamana sana
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
upewe heshima, sifa na uwezo
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(mwana kondoo wa mungu)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
uliyenilipia deni, ukanitoa kwenye aibu,
ukanifanya mwana wako
umenitoa kwenye matope haukuniacha nizame yesu
wastahili mwanakondoo wa mungu uliyechinjwa,
(milele)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(umeinuliwa)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
Mbinguni hata duniani, hata chini ya dunia,
hakuna angeyeweza kuniokoa,
ila ni wewe yesu, mwana wa Mungu
umenifanya mteule wako, mtu wa milki ya Mungu
niwe kuwa wa kifalme,
mwana kondoo wa mungu, uliyechinjwa.
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(tunakuinua)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba
malaika wakuabudu
Mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa!
ukapewa jina bora, lipitalo majina yote
kwa jina lako, litakiri wewe ni bwana
(umeenzika sana)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(tunakuinua)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
@ Sarah Wangui
You are worthy, the son of God who was slain