Shangwe Voices - Naikuinulia Mikono

Chorus / Description : Nakuinulia mikono nasema asante
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako

Naikuinulia Mikono Lyrics

Nakuinulia mikono nasema asante 
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 
Bwana nakuinulia mikono nasema asante 
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 

Nakuinulia mikono nasema asante 
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 

Yesu unipendaye kwako nakimbilia 
Ni wewe unitoshaye mwovu akinijia 

Yafiche ubavuni mwako maisha yangu 
Nifikishe mbinguni uinue moyo wangu 

Na na na 
Nakuinulia mikono nasema asante 
Nakuinulia mikono nanajitoa kwako 
Nakuinulia mikono nasema asante 
Nakuinulia mikono nanajitoa kw

Naikuinulia Mikono Video

  • Song: Naikuinulia Mikono
  • Artist(s): Shangwe Voices


Share: