Chorus / Description :
Siwezi siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi Siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi
Waniandalia meza mbele ya maadui zangu
Waniandalia meza Mbele ya maadui zangu ooh
Nilee eeh ninywee eeh
Mbele ya maadui zangu ooh
Nilee eeh ninywee eeh
Mbele ya maadui zangu ooh .
Siwezi siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi Siwezi (Mungu wangu)
Bila wewe Yesu siwezi .
Siogopi ni salama ukiwa karibu nami
Siogopi ni salama ukiwa kaaribu nami
Wanichunga wanitunza siogopi ukiwa na mimi
Wanitunza wanichunga Siogopi ukiwa na mimi .
Siwezi siwezi (Nainua mikono yangu)
Bila wewe yesu siwezi (masiaa eeh nakuhitji)
Siwezi (Mchungaji mwema) Siwezi (Kilaa saa)
Bila wewe Yesu siwezi .
Siwezi nainua mikono yangu Massiah eeh
Nakuhitajii mchungaji mweema Kila saa aye eeh
Mfariji kila saa sitishiki ukiwa name
Mfariji kila saa sitishiki ukiwa nami
Gongo lako, fimbo lako wafariji moya wangu
Gongo lako, fimbo lako wafariji moyo wangu .
Siwezi siwezi (Bila wewe)
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitaji)
Siwezi(nakuhitaji) Siwezi (nakuhitaji)
Kila saa
Bila wewe Yesu siwezi
(Siwezi bila wewe) siwezi
(Siwezi bila wewe) siwezi
Bila wewe Yesu siwezi ... .
Wema na fadhili zako zinifuate
Ntadumu nyumba yako milele