Chorus / Description :
Umestahili Yesu (Umestahili Yesu)
(You are worthy Jesus)
Umestahili Baba (Umestahili Baba)
(You are worthy Father)
Tunakuinua Bwana
Wewe wa ajabu
Tunakuinua Bwana
Unastahili
Tunakuinua Bwana
Wewe wa ajabu
Tunakuinua Bwana
Unastahili
Umestahili Yesu (Umestahili Yesu)
Umestahili Baba (Umestahili Baba)
Umestahili Yesu (Umestahili Yesu)
Umestahili Baba (Umestahili Baba)
Tutapiga kelele hatuachi
Tutapaza sauti zetu kama tarumbeta
Tutapiga kelele hatuachi
(We'll shout relentlessly)
Tutapaza sauti zetu kama tarumbeta
(We lift our voices like trumpets)
Umestahili Yesu (Umestahili Yesu)
(You are worthy Jesus)
Umestahili Baba (Umestahili Baba)
(You are worthy Father)
(Dancing for the Lord)
Umestahili Yesu (Umestahili Yesu)
(You are worthy Jesus)
Umestahili Baba (Umestahili Baba)
(You are worthy Father)