Elizabeth Nyambura - Bwana U Sehemu Yangu

Chorus / Description : Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Bwana U Sehemu Yangu Lyrics

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.


Bwana U Sehemu Yangu Video

  • Song: Bwana U Sehemu Yangu
  • Artist(s): Elizabeth Nyambura
Bwana U Sehemu Yangu

Share: