Chorus / Description :
Tuko nyumba ya raha
Tuko na Yesu kihome home
Tumekutana kwa raha
Tuko na Yesu kihome home
Raha raha raha raha raha
Watu tuko pamoja tuna nia moja
Tunasema pamoja kwa umoja
Yaani kama mafuta yanyanyukayo
Katika ndevu za haruni
(*2)
Tuko nyumba ya raha
Tuko na Yesu kihome home
Tumekutana kwa raha
Tuko na Yesu kihome home
Tuko nyumba ya raha
Tuko na Yesu kihome home
Tumekutana kwa raha
Tuko na Yesu kihome home
Kihome home, kihome home
Kihome home, kihome home
Tumevua mapombo na vitu vyote vya dhamani
Tumekuja kwa roho tena kwa nguvu ya imani
Palipo na roho wa Mungu hapo ndipo kwenye raha
kihome home,
Hatuna mashaka tunayo nguvu ndio furaha ya Bwana (kihome home)
Nimekukwaza moyoni kiseme moyoni
Tumekutana kwa raha
Nini kimekukwaza hebu kiseme tukiondoee
Palipo na roho wa Mungu hapo ndipo penye raha(kihome home)
Hatuna mashaka tunayo nguvu ndio furaha ya Bwana (kihome home)
Tuko nyumba ya raha
Tuko na Yesu kihome home
Tumekutana kwa raha
Tuko na Yesu kihome home
Kihome home, kihome home
Kihome home, kihome home