Tumaini - Nisizame Yesu uniokoe

Chorus / Description : Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe, Nisizame uniokoe.
Magonjwa yananiandama, Hospitali zote nimemaliza
Naona huduma imekuwa nzito
Elimu nimemaliza, Kazi nimetafuta, nimekosa

Nisizame Yesu uniokoe Lyrics

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe, Nisizame uniokoe.
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe,Nisizame uniokoe.

Magonjwa yananiandama, Hospitali zote nimemaliza
Kupona sijapona, Magonjwa yananiandama.
Madaktari wote nimemaliza,, Kupona sijapona
Njoo haraka unisaidie, nisizame, Uje hima unikoe, nisizame.

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe, Nisizame uniokoe.
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe,Nisizame uniokoe.

Naona huduma imekuwa nzito
Naona huduma hii Baba yangu kama ni mzigo
Naona huduma imekuwa nzito
Umekuwa kama mwiba
Lakini nakuita unisaidie, nisizame
Nisizame Baba, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe, Nisizame uniokoe.
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe,Nisizame uniokoe.

Elimu nimemaliza, Kazi nimetafuta, nimekosa
Mwenye nymba naye amekukuja, Akidai kodi ya nyumba
Hata shilingi mimi sina, Nimejaribu kuomba kwa majirani
Ndugu zangu wote hakuna msaada
Marafiki zangu, hakuna msaada
Ni wewe tu msaada wangu, nisizame
Hili ni ombi langu, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe, Nisizame uniokoe.
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame uniokoe,Nisizame uniokoe.

Nisizame Yesu uniokoe Video

  • Song: Nisizame Yesu uniokoe
  • Artist(s): Tumaini


Share: