Jehovah Lyrics + Video

by Tafes Aru | in Swahili
Swahili Songs Playlist Music Videos

Jehovah Lyrics

Mp3 Song

Ninapojikwa najua sitaanguka 
(When I stumble I know I won't fall) 
He is here with me ananitegemeza 
(He is with me, he makes me firm)
Hata kwa lile la kwanza lilikuja na kupita
(The first trial came and passed)
Tafadhali ndugu, nitamuangalia Baba 
(Please man, I look up to the father)

JEHOVAH ananipa kushinda tena,
(JEHOVAH we’ll make me conquer)

JEHOVAH hupigana upande wangu,
(JEHOVAH fights my battles)

Anipa nguvu za kuenenda upya
(HE gives me strength to start again)

Mi na JEHOVA, HATUJAMALIZANA BADO
(We ain’t done yet)

Kwa wakati tu atetenda
(In time He will do)
Kwa wakati tu atetenda
Kwa wakati atafanya


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Jehovah:

0 Comments/Reviews