Daudi Petro - Msalabani pa Mwokozi

Chorus / Description : Msalabani pa mwokozi, hapo niliomba upozi, akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu, mwokozi wangu, akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu

Msalabani pa Mwokozi Lyrics

Msalabani pa mwokozi, hapo niliomba upozi,
akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu.

Mwana wa Mungu, mwokozi wangu,
akaniokoa mpenzi, mwana wa Mungu

Chini ya mti msumbufu, niliomba utakatifu,
alinikomboa kwa damu, mwana wa Mungu.

Aliniokoa dhambini, ikawa kunikaa ndani,
aliponifia mtini, mwana wa Mungu.

Damu ya Yesu ya thamani, huniokoa makosani,
huniendesha wokovuni, mwana wa Mungu.

Hicho kijito cha gharama, leo jivike kwa kuzama,
kwake uuone uzima, mwana wa Mungu.

Msalabani pa Mwokozi Video

  • Song: Msalabani pa Mwokozi
  • Artist(s): Daudi Petro


Share: