Kwa Pamoja

By Ali Mukhwana

Lyrics

Kwa pamoja, kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa na Mungu tutashinda 

Kwa pamoja, kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa naye Yesu tutashinda 


Kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa na Mungu tutashinda 

kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa naye Yesu tutashinda 


Eeeh Mungu nguvu yetu 

Ilete baraka kwetu 

Haki yako iwe ngao na mlinzi 

Natukae na undugu 


Kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa na Mungu tutashinda 

kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa naye Yesu tutashinda 


Tunajua ile janga linatisha 

Lakini tuna imani tutashinda 

Aliyetuumba ni mwaminifu 

Atutishandaniya hili janga 


Kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa na Mungu tutashinda 

kwa pamoja tutashinda 

Tukiwa naye Yesu tutashinda 

Ali Mukhwana - Kwa Pamoja (sms SKIZA 7637334 to 811)