MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA Lyrics + Video

Swahili Songs Playlist Music Videos

MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA Lyrics

Mp3 Song

Mataifa yote yatakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Waliokoka watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi

Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana

Watakatifu wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Waliokoka watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi

Watasujudu Bwana, watasajudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakupa sifa Bwana, watapa sifa Bwana
Haleluya Bwana
Watakuabudu Bwana, watakuabudu Bwana
Haleluya Bwana
Watakuimbia Bwana, watakuimbia Bwana
Haleluya Bwana
Watafurahi Bwana, Watafurahia Bwana
Haleluya Bwana

Wenye dhambi wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na walevi wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na washerati wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi
Na waongo wote watakusanyika
Mbele zake Bwana mwokozi

Watalia woi,woi
Wooi, woii, woi woi
Wakiteseka woi, wakichomeka woi
Wooi, woii, woi woi
Watajuta woi, watateseka woi
woi, woi woi woi

Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mataifa Yote Yatakusanyika:

0 Comments/Reviews