Chorus / Description :
Hakuna wa kufanana na Yahweh
(Hakuna wa kufanana naye)
Hakuna wa kufanana na Mungu
(Hakuna wa kufanana naye)
Hakuna wa kufanana na Yahweh
(Hakuna wa kufanana naye)
Hakuna wa kufanana na Mungu
(Hakuna wa kufanana naye)
Yeye anaweza
Yeye anaweza yeye anaweza
Hakuna wa kufanana naye
Yeye aokoa
Yeye aokoa Yeye aokoa
Hakuna wa kufanana naye
Yeye abariki
Yeye abariki, yeye abariki
Hakuna wa kufanana naye
Yeye atawala
Yeye atawala, Yeye atawala
Hakuna wa kufanana naye
Yeye Jemedari
Yeye Jemedari, Yeye Jemedari
Hakuna wa kufanana naye
Hakuna wa kufanana na Baba
(Hakuna wa kufanana naye)
Hakuna wa kufanana na Yahweh
(Hakuna wa kufanana naye)
Yeye ainua
Yeye ainua, Yeye ainua
Hakuna wa kufanana naye
Yeye ni mshindi
Yeye ni mshindi, Yeye ni mshindi
Hakuna wa kufanana naye
Yeye ni mwalimu wangu
Yeye ni mwalimu, Yeye ni mwalimu
Hakuna wa kufanana naye
Naijulikane kwamba yupo wa uwezo
Naijulikane kwamba yupo wa uwezo
Naijulikane kwamba yupo wa uwezo