Anthony Musembi - Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya

Chorus / Description : Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako

Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya Lyrics

Niumbie moyo safi,
Niumbie moyo mpya,
Moyo wa kunyenyekea,
Na kubondeka mbele zako

Nisikilize Yahweh

Daudi akasema:

Roho mtakatifu
(hakuna kama wewe)
Roho wake baba
(hakuna kama wewe)
Roho wa uweza
(ni nani kama wewe)

Roho wake Baba

hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe
hakuna kama wewe,
hakuna Mungu, kama wewe

English:
Create in me a clean heart,
create in me a new heart,
a heart that is broken before you

Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya Video

  • Song: Niumbie Moyo Safi niumbie moyo mpya
  • Artist(s): Anthony Musembi


Share: