Christina Shusho - Hapo Mwanzo

Chorus / Description : Hapo mwanzo kulikwa na neno
nae neno alkua kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu

Hapo Mwanzo Lyrics

Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja
akakaa kwetu tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake lilikua mwana wa mungu

Hapo Mwanzo Video

  • Song: Hapo Mwanzo
  • Artist(s): Christina Shusho


Share: