Chorus / Description :
Hakuna rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee
Hakuna rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu Pekee
Hakuna rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu Pekee
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hakuna rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee
Extracted from Tenzi za rohoni Hymn 44
1
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,
Tabibu mwingine wa rohoni, hakuna, hakuna.
CHORUS:
Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,
Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,
2
Wakati ambapo hapo yeye, hapana, hapana,
Wala giza kututenga naye, hapana, hapana.
3
Aliyesahauliwa naye, hakuna, hakuna,
Mkosaji asiyempenda, hakuna, hakuna.
4
Kipawa kama Mwokozi wetu, hakuna, hakuna,
Ambaye atanyimwa wokovu, hakuna hakuna.