John Lisu - Hakuna Gumu Kwako

Chorus / Description : Hakuna gumu kwako Yesu
(Nothing is difficult for You Jesus)
Hakuna gumu kwako

Hakuna Gumu Kwako Lyrics

Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu 
Umefanya mengi ya ajabu 
Wewe ni mfalme 

Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako

Ulitembea juu ya maji YESU 
Hakuna gumu kwako
Wafanya njia pasipo na njia 
Hakuna gumu kwako 

Na wagonjwa wanapona YESU 
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako

Kuta za gereza zatingizika 
Minyaroro yakatika 
Wafungwa wafunguliwa Yesu 
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako

Mashtaka yetu yamefutwa 
Vita vyetu ni juu ya Bwana 
Falme zitainuka, falme zitaanguka 
Bali ufalme wako wadumu 

Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu 
Hakuna gumu kwako

Milima yayeyuka kama nta mbele zako 
Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu
Uliumba pasipo wewe kuumbwa 
Wewe ni mfalme 

Hakuna Gumu Kwako Video

  • Song: Hakuna Gumu Kwako
  • Artist(s): John Lisu


Share: