Chorus / Description :
Wastahili sifa wastahili
Yesus wastahili
Hakuna kama wewe
Wastahili sifa wastahili
Wastahili sifa wastahili
Yesus wastahili
Hakuna kama wewe
Wastahili sifa wastahili
Wastahili sifa wastahili
Yesus wastahili
Hakuna kama wewe umetukuka
Wastahili sifa wastahili
Wewe ndiwe Mungu
Muweza wa yote
Hakuna kama wewe wastahili
Jehovah Jehovah Jireh
Mfalme wa utukufu wewe
Wastahili wastahili wastahili
Wastahili sifa wastahili
Yesus wastahili
Hakuna kama wewe umetukuka
Wastahili sifa wastahili
Pokea sifa Bwana wa mabwana
Hakuna mwigine aliye kama wewe
Pokea sifa Bwana wa mabwana
Hakuna mwigine aliye kama wewe
Pokea sifa Bwana wa mabwana
Hakuna mwigine aliye kama wewe