Chorus / Description :
Wakusifiwa wakuabudiwa
Ni wewe tu Mungu wa Miungu
Wakusifiwa wakuabudiwa
Ni wewe tu Mungu wa Miungu
Wakusifiwa wakuabudiwa
Ni wewe tu Mungu wa Miungu
Wakusifiwa wakuabudiwa
Ni wewe tu Mungu wa Miungu
Ni wewe tu (Mungu wa miungu)
Ni wewe tu (Mungu wa miungu)
Ni wewe tu (Mungu wa miungu)
Sema ni wewe tu Bwana
(Mungu wa miungu)
Wakusifiwa wakuabudiwa
Ni wewe tu Mungu wa Miungu