Kidum - Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja

Chorus / Description : Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.
Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona
Nimejaribu kutafutakinachoweza kuridhisha moyo wangu,

Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja Lyrics

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona
Nimejaribu kutafutakinachoweza kuridhisha moyo wangu,
Nikatanga tanga masharikina kusini ili muundaji nitafute
Nikamanga manga magharibi kaskazini,
kupata kile ninachotaka wimbo.

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Juhudi zangu zote zilipogonga mwamba nikafa moyo nikakata tamaa,
Ndio bwana akaja kanigusa nikasimama nikaanza kutembea.
Asante bwana mwokozi wangu nimetambua kama nimekupata ,
pewa wimbo pewa sifa asante Yesu.

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila korna
Nimetambua nimekupata Bwana Yesu mwokozi wangu nafasi

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja Video

  • Song: Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja
  • Artist(s): Kidum


Share: