Chorus / Description :
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Niwe wako, niwe wako
Papa Mungu Baba ah
Siku nyingi nimekaa nikijiuliza ah
Upendo wako Baba kwa walimwengu
Wewe ni mwema, Baba wa huruma
Muumba wa mbingu na dunia
Mwanzo na mwisho
Sisi watoto twakusifu, twakuabudu
Ndiyo sababu twasema asante
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Niwe wako, niwe wako
Tazama kila pande ya dunia
Kuna viumbe za kila aina
Kuna sisi kwa mfano wake
Mungu Baba ni mwenye kutujali
Mungu Baba ni mwenye kutupenda
Umelipa nafsi kwa uhai wako
Umepa* lili wa kubarikiwa
Mungu ni mwema, mwenye rehema
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Niwe wako, niwe wako
Tuko mbele zako tukipiga magoti Baba
Tusamehe dhambi zetu
Tuko mbele zako tukiomba am
Baba tupe amani ...
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Niwe wako, niwe wako