Florence Mureithi - Wewe ni Mungu

Chorus / Description : Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe
Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo
Kweli wewe, wewe ni Mungu

Wewe ni Mungu Lyrics

Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe
Uliye Mungu wa kale na uliye Mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe
Umetukuka umeinuliwa ewe bwana

Kweli wewe wewe ni Mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni Mungu

Kweli wewe wewe ni Mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni Mungu

Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe
Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu
Uumbaji wako waonyesha hekima yako wewe
Watukuzwa kati ya mataifa milele bwana

Kweli wewe wewe ni Mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni Mungu

Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo wewe
Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue Mungu wangu

Kweli wewe wewe ni Mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni Mungu


Wewe ni Mungu Video

  • Song: Wewe ni Mungu
  • Artist(s): Florence Mureithi


Share: