Mahali Pa Raha Lyrics

Mahali pa raha ya moyo wapi?
Anikingiaye mabaya ndani.
Dunia haina makimbilio
Nisposhindwa na makosa yangu

Sipo sipo hapa sipo
Mbinguni ni ngome ya raha yangu.

Iache dunia ione kombe
Unapofurahishwa moyo wapi
Ni yerusalemu pazuri inapojengwa
Na mawe mazuri ya dhahabu

Ndipo ndipo, ndipo ngome
ya makimbilio ya moyo wangu

Angani mwa Yesu ni raha ajabu
Hakuna makosa na shida Huko
Vinubi sauti na nyimbo nzuri

Raha raha raha tamu
Mbinguni kwa Yesu naitamani

Mahali Pa Raha VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mahali Pa Raha:

0 Comments/Reviews