Abiudi Misholi - Tenda Miujiza - Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza

Chorus / Description : Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Mwaka huu usipite Bila kutenda Muujiza
Tenda Baba Tenda Miujiza

Tenda Miujiza - Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza Lyrics


"Ni Kweli Ndugu yangu mambo mengi yamekukumba kwa miaka Nyingi
Leo Mwambie Mungu Mwaka Huu usipite Bila Kutenda Muujiza "

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Mwaka huu usipite Bila kutenda Muujiza
Tenda Baba Tenda Miujiza

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite
Bila kutenda Muujiza
Tenda Baba Tenda Miujiza

Ni kweli Ndugu yangu umeteseka
Umeonewa vya kutosha
Leo mwambie Yesu
Mwaka Huu usipite Bila kutenda muujiza

Kazini mwako umenyanyaswa na wala hauna mtetezi
Walio wageni wanapandishwa cheo na wewe unaachwa unastahili
Sema sasa Kwa Yesu

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite

Umeokoka Kabisa hizo tamaa zinakurudisha nyuma
Leo mwambie Yesu parapanda isilie bila kukupa Muujiza

Tenda Muujiza, Tenda Miujiza
Usiache Mungu Mwaka huu upite
...

Tenda Miujiza - Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza Video

  • Song: Tenda Miujiza - Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza
  • Artist(s): Abiudi Misholi
  • Album: Awaken the Dawn
  • Release Date: 01 Jan 2009
Every Promise of Your Word Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: