Adawnage Band - Naomba baba

Chorus / Description : Popote niendapo, chochote nifanyacho sasa
Nifungue macho
Nipate kuona, na kuhisi
Nipate upako wako

Naomba Baba
Ninaomba ee, Mikono nimeinua
Nishike baba,
Unifiche ee, mikononi mwako
Nionyeshe baba
Wema wako, unifanye chombo chako
Ninaomba, Naomba
Baba mie naomba

Naomba baba Lyrics

Sikudhani mimi, nimekupa wee (I never thought I?d given you)
Huzuni kiasi hicho (such grief)
Dhambi mingi maombi hayatoki (I sinned so much, I couldn?t pray)
Nisamehe baba (forgive me Father)
Uchovu na uvivu umenijaza moyoni (weariness and laziness fills my heart)
Sina Amani (I have no peace)
Naomba unipe raha, msamaha (Give me rest, forgiveness, I pray)
Naomba uwashe taa (I pray turn on the Lantern)

Popote niendapo, chochote nifanyacho sasa
Nifungue macho
Nipate kuona, na kuhisi
Nipate upako wako

Naomba Baba
Ninaomba ee, Mikono nimeinua
Nishike baba,
Unifiche ee, mikononi mwako
Nionyeshe baba
Wema wako, unifanye chombo chako
Ninaomba, Naomba
Baba mie naomba

Sikudhani mimi, (I never thought)
Nikiteleza ah, nakusulubu tema (When I trip, I am crucifying You again)
Uchungu mwingi machozi yakutoka we (Such pain, Your tears flowing)
Nisamehe baba (forgive me Father)
Unizibie ufa nisijenge ukuta bwana, (Blot the cracks so that I don?t have to rebuild the wall Oh Lord)
Umetukuka, (You are Holy)
Naomba unipe raha, msamaha (Give me rest, forgiveness, I pray)
Naomba uwashe taa (I pray turn on the Lantern)

Popote niendapo, na nifanyacho sasa
Nifungue macho
Nipate kuona, na kuhisi
Nipate upako wako


Wherever I go, and do
open my eyes
So that I may get to see, and feel
Give me Your anointing

Father I pray
I pray to You, with my hands raised up
Hold me Father, Hide me in Your hands
Show me Father
Your goodness, make me Your Vessel
I pray, Father I pray to You

Naomba baba Video

  • Song: Naomba baba
  • Artist(s): Adawnage Band


Share: