Unatosha - Nimeubeba Msalaba Wangu

By Eunice Njeri

Lyrics

Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda ×2

Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha ×2

Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako nimeisikia
Umenivuta bwana karibu na wewe
Karibu zaidi natamani niwe ×2

Moyo wangu usawa sioni ovu
Wanitosheleza wanitosha...
Mwingine mie sina, wewe wanitosha
Wanitoshaaa wanitoshaa...

@ Eunice Njeri - Unatosha

God of promises you are sufficient for me.

"Unatosha Live - Eunice Njeri (SMS Skiza 5963666 to 811)"