Chorus / Description :
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
(We worship You God of the throne)
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Tunainama mbele zako
Tukisema Mungu wastahili
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Mfariji mwema twakuabudu
Nikisema mimi ni msafi
Itakuwa mimi najidanganya
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Mfariji mwema twakuabudu
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Wewe ndiwe kiongozi wangi
Tena mchungaji wangu wa karibu
Wewe ndiwe kiongozi wangi
Tena mchungaji wangu wa karibu
Mimi ni nani Bwana nisikusifu
Mimi ni nani Bwana nikuabudu
Uliniumba Mungu kwa mfano wako
Tunasema Mungu uhimidiwe
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
Halle Halleluyah wastahili
Halle Halleluyah wastahili