Chorus / Description :
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya yesu isonge, mbele
sambaza sambaza Sambaza injili ya yesu iende mbele
Ooh hoo eih eih
How will they know, know that you love him so, so
sambaza,
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
sambaza sambaza, sambaza injili ya Yesu iende mbele
nisafishe moyo wangu, nitumie kama chombo kisafi
kote kote usikike, kwa mataifa yote
nitumie mashambani, ofisini na
mashuleni, kanisani na
kila pande kona zote
mashariki, magharibi, kusini, kaskazini
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
sambaza sambaza, sambaza injili ya Yesu iende mbele
How will know know, that you love him so
so let me go, go to the whole world oh
oh, how beautiful? eh how He propose
who take the word to the world around? ooh
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
sambaza sambaza, sambaza injili ya Yesu iende mbele
Moto wa Yesu na ushuke
Serikali simamishe macho nayo yafunguke
Viziwi nao wasikie wafungwa waekwe huru
Waovu waache dhambi injili iende
Kote wote wakujue eh
injili iende mbele
injili iende mbele
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
Sambaza gospel ya Yesu iende, mbele
Sambaza injili ya Yesu isonge, mbele
sambaza sambaza, sambaza injili ya Yesu iende mbele
sambaza aah sambaza sambaza aah aah
sambaza